24 Machi 2013 - 19:30

Rais wa wapinzani Syria ajiuzulu na kuandika katika ukurasa wake wa Facebook: Mimi niliwaahidi wasyria nachukua cheo hiki kwa masharti na ikivukwa misitari myekundu nitajiuzulu.

Ripotiya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ahmad Muadh Khatib Rais wa wapinzani Syria kajiuzulu kwa sababu zisizojulikana.

Alisema:Nimejiuzulu ili niwe huru katika kazi zangu.

Ahmad Muadh Khatib katika ujumbe wake Facebook: Mimi niliwaahidi wananchi wa syria

wapenzi kua mimi nakubali cheo hiki kwa masharti kutovuka misitari myekundu na ikitokea hivyo nitajiuzulu.

Kiongozihuyo hakueleza sababu ya kujiengua madarakani ni nini.